| Wananchi wakifanya usafi katika kijiji cha Ruaha Mbuyuni A |
| Mkuu wa Mkoa wa Irirnga, Mhe. Amina Masenza akiwaongoza maafisa waandamizi kuelekea eneo la kufanya usafi |
| Zoezi la usafi likiendelea |
| Zoezi la usafi likiendelea |
| Mkuu wa Mkoa akichoma taka |
| Upande wa pili Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Bibi Wamoja Ayubu wanne (kulia) akiongoza vikosi vya usalama kuelekea eneo la kusanya usafi |
| Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu wakwanza mbele (kulia) |
| Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi (katikati) katika zoezi la usafi |
| Zoezini |
| Wananchi baada ya kuhitimisha zoezi la usafi |
| Baada ya zoezi la usafi |
| Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza |
| Wananchi wakisikiliza nasaha za Mkuu wa Mkoa |
| Mkuu wa Mkoa akiongea na wananchi |
| Wadau wa sekta ya usafi wakifuatilia nasaha za Mkuu wa Mkoa |
| Mdau wa siku ya Uhuru wa Tanzania bibi Scolastica |
| Wananchi wakifuatilia nasaha za Mkuu wa Mkoa |
| Wananchi wakisikiliza nasaha za Mkuu wa Mkoa wa Iringa |
| Mkurugenzi Mtendaji (W) Kilolo, Rukia Muwango akijibu hoja za wananchi |
| Shaban Lubathillah Afisa Ushirika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa akifanya usafi katika Uso wa ofisi hiyo |
No comments:
Post a Comment