Maandamano ya kitaaluma kuelekea katika uwanja wa Mahafali
Revina Pius akiwa tayari kwa kuhudhurishwa na Mkuu wa Chuo kikuu cha Ruaha
Wahitimu wa Shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara tarari kuhudhurishwa
Revina Pius akipokea baraka baada ya kuvalishwa KOFIA
Sehemu ya WAZAMIVU katika Sheria
Zamakhishary Yassy akimvika ua Revina Pius baada ya kutunukiwa Shahada.
Revina Pius akiwa na Alice mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika chuo kikuu cha Iringa
Manyus Chaula, Mhasibu katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa akimpongeza Revina Pius
REVINA PIUS nje ya jengo jipya la Maktaba ya RUCO
REVINA PIUS nje ya jengo jipya la Maktaba ya RUCO
Mchungaji Mwaikali akifurahia jambo na Revina
Zamakhishary na Revina katika pozi
Revina na Edwin katika pozi
Edwin na shemeji yake pamoja na Harrison
Harrison akimvalisha ua Revina
Zamakhisharyakimvika KOFIS YA SHAHADA Revina
Revina na Gondwe
Revina Pius akivalishwa KOFIA na Mkuu wa Chuo cha Ruaha Mhashamu Baba Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa katika Mahafali ya 6 ya Chuo Kikuu cha Ruaha