Ubunifu wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa katika kuonesha ukingaji wa maji ya mvua kwa teknolojia rahisi
Mkulima wa Nyanya toka Iringa Vijijini akijivunia zao lake
Ufugaji wa samaki wahamasishwa Iringa vijijini
Vipando vya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
Kilimo cha umwagiliaji maji kikihamasishwa
Viongozi wa Mkoa wa Iringa wakiwa katika banda la TRA
Viongozi wa Mkoa wa Iirnga wakiwa katika banda la UCC
Mkuu wa Mkoa wa Iringa akisaini kitabu cha wageni katika banda ya Benki Kuu ya Tanzania
Ndani ya Banda la BOT
Ndani ya Banda la BOT
Mkuu wa Mkoa wa Iringa akikagua banda la Benki Kuu ya Tanzania tawi la Mbeya
Katika banda la TEKU
Viongozi wa Mkoa wa Iringa walipotembelea banda la Blog za mikoa
...kuelekea banda la Bodi ya Pareto
Ndani ya banda la Bodi ya Pareto
Nje ya banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu katika mojawapo ya banda la maonesho ya 8 8
Ndani ya banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo
Wito Kayugwa Mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Ilolo Mpya akionesha ubunifu wa teknolojia kwa kuzalisha umeme kwa kutumia matunda
Ugali tulishuhudia ukisongwa hadi kuliwa Iringa (V)
Banda la Manispaa ya Iringa na Lishe
Mjasiliamali Bibi. Khadija maarufu khama Khadija Design
Mkuu wa Mkoa akisaini kitabu cha wageni
Dkt. Christine Ishengoma kimdarasisha Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa,
Ndani ya Banda la kuzalisha Uyoga
Ndani ya banda la Manispaa ya Iringa
Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa, Theresia Mahongo (kushoto) akimuelezea Mkuu wa Mkoa wa Iringa umuhimu wa zao la Viazi
Kazi za mikono ya wakina mama wa Manispaa ya Iringa
Afisa Ushirika, Shabaan Lubathilla akikumbushia
Wadau wetu
Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa nje ya banda lao
FB ya banda la Magereza
FB ya banda la Magereza
Ndani ya banda la Magereza