Wednesday, August 14, 2013

MAONESHO YA NANENANE 2013 JIJINI MBEYA

       Magreth Mvulla akijipatia kapu la asili ya kihehe katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Njombe


Ubunifu wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa katika kuonesha ukingaji wa maji ya mvua kwa teknolojia rahisi

                                   Mkulima wa Nyanya toka Iringa Vijijini akijivunia zao lake

                                       Ufugaji wa samaki wahamasishwa Iringa vijijini

                                      Vipando vya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

                                   Kilimo cha umwagiliaji maji kikihamasishwa

V
                               Viongozi wa Mkoa wa Iringa wakiwa katika banda la TRA

                        Viongozi wa Mkoa wa Iirnga wakiwa katika banda la UCC

          Mkuu wa Mkoa wa Iringa akisaini kitabu cha wageni katika banda ya Benki Kuu ya Tanzania

                                                    Ndani ya Banda la BOT

                                                         Ndani ya Banda la BOT

                  Mkuu wa Mkoa wa Iringa akikagua banda la Benki Kuu ya Tanzania tawi la Mbeya

                                                                Katika banda la TEKU

                        Viongozi wa Mkoa wa Iringa walipotembelea banda la Blog za mikoa

                                                ...kuelekea banda la Bodi ya Pareto

                                                   Ndani ya banda la Bodi ya Pareto

                                         Nje ya banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

     Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu katika mojawapo ya banda la maonesho ya 8  8

                               Ndani ya banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo




Wito Kayugwa Mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Ilolo Mpya akionesha ubunifu wa teknolojia kwa kuzalisha umeme kwa kutumia matunda

                             Mkulima toka Halmashauri ya Wilaya ya Iringa akionesha mazao yake

                                Ugali tulishuhudia ukisongwa hadi kuliwa Iringa (V)

                                              Banda la Manispaa ya Iringa na Lishe

Mjasiliamali Bibi. Khadija maarufu khama Khadija Design 

                                    Mkuu wa Mkoa akisaini kitabu cha wageni

               Dkt. Christine Ishengoma kimdarasisha Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa,

Ndani ya Banda la kuzalisha Uyoga

Ndani ya banda la Manispaa ya Iringa

Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa, Theresia Mahongo (kushoto) akimuelezea Mkuu wa Mkoa wa Iringa umuhimu wa zao la Viazi

             Mjasiliamali mwandamizi Geno Barnabas akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa

                              Kazi za mikono ya wakina mama wa Manispaa ya Iringa

                                Afisa Ushirika, Shabaan Lubathilla akikumbushia

                                                                        Wadau wetu

                              Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa nje ya banda lao

                                                                   FB ya banda la Magereza

                                                             FB ya banda la Magereza

                                                         Ndani ya banda la Magereza

No comments:

Post a Comment