Wenyewe sasa Bw n Bibi. Samweli S. Nyagawa wakiingia ukumbini
Keki ya uhakika shukrani kwa mpambaji
Mama Harry...! Mama Harry...! Mama Harry...!
Mwenyewe Neema G. Mwaipopo kama sio wa nchi hii vile!
Bw na Bibi. Jonas Kilima na mtoto wao wakiwa katika tabasamu ukumbini
Mr n Mrs. Dr. E. Mpuya ambaye pia ni Mkuu wa Kazi wa Bw. Samwel Nyagawa
Mama Chota na ujumbe wake katika ukumbi wa RUCO kushuhudia sherehe ya harusi ya Sam
Familia ya Mama Mdemu ikiingia ukumbini
Mr n Mrs. Prof. S. Nyagawa wakiingia ukumbi wa chuo cha RUCO katika sherehe ya harusi ya kijana wao wa mwisho Samwel Nyagawa
Bibi. Modesta Kaweni na Bibi Kiula katika sherehe ya harusi ya Sam
Bibi. Kiula, Bibi. Ambrose na Bibi. Chambala wamejiachia katika sherehe ya Harusi ya kijana wao Samwel S. Nyagawa
Mr n Mrs. Bahati F. Golyama wakijinafasi katika sherehe ya Harusi ya Bw n Bibi. Samwel S. Nyagawa
Aisee hiyo harusi ya kaka Sam ilikuwa bomba usipime.
ReplyDeleteUnajua sasa akili zetu zipo kwa kaka Dimosso, hivi kweli anaoa na utaratibu umekaa vipi?