Vijana wa JKT Mafinga wakiwa katika shughuli zakijamii
Wanafahamika kama wazee wa White hakuna kuchafuka
Wanafahamika kama wazee wa White hakuna kuchafuka
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi y Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Viongozi waandamizi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa akifuatilia kwa makini yanayojiri katika uwanja wa Samora siku ya pili ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru
watumishi wakisikiliza Hotuba ya Katibu Tawala Mkoa wa Iringa katika Uwanja wa Samora siku ya pili ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru kwa Mkoa wa Iringa

Kundi la sanaa lijulikanalo kama Makhrikhri kutoka Makete
Kundi la sanaa lijulikanalo kama Makhrikhri kutoka Makete
Katibu Tawala Msaidizi, Sehemu ya Utawala, Bw. Barnabas Ndunguru akipata maelezo kutoka banda la maonesho la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Bibi. Gertrude Mpaka akikagua madanda ya maonesho
Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Bibi. Gertrude Mpaka akisaini kitabu cha wageni katika kanda la CCM
Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Bibi. Gertrude Mpaka akipata kipimo katika banda la Hospitali ya Mkoa katika siku ya pili ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru
Viongozi ngazi ya Mkoa wakijiandaa kuupokea Mwenge wa Uhuru wilayani Wanging'ombe
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dk. Christine Ishengoma akikumbatiana na Mkimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa Bi. Mtumwa Khalfan
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro akijiandaa kumkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma akipokea Mwenge wa Uhuru