TANGAZO
NDUGU WANA IRINGA
CHAMA CHA MADAKTARI WANAWAKE
TANZANIA, WAKISHIRIKIANA NA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII, WATAFANYA ZOEZI
LA UPIMAJI WA HIARI WA SARATANI YA
MLANGO WA KIZAZI KWA WAKINA MAMA WOTE WA MJINI IRINGA
ZOEZI HILI LITAFANYIKA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA IRINGA NA
HOSPITALI YA FRELIMO SIKU YA TAREHE 19-20/11/2015 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI
ZOEZI HILI NI BURE
UKISOMA TANGAZO HILI MFAHAMISHE NA
MWENZAKO.
ASANTE NA KARIBU SANA