Afisa Utumishi, Gasto Andongwisye (kushoto) na Afisa Ushirika, Shabaan Lubatilla (kulia) walitoa maelekezo katika banda la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Baadhi ya maafisa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa wakiweka mambo yao sawa katika banda la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Baadhi ya maafisa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa wakiweka mambo yao sawa katika banda la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Watumishi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa katika banda la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Mkuiu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma akiwasili katika uwanja wa Samora
Maandamano yakiingia uwanja wa Samora