WAFANYAKAZI KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WAKIWA TAYARI KUUPOKEA MWENGE WA UHURU KATIKA KIJIJI CHA IGOMAA -MUFINDI
WATUMISHI MBALIMBALI WA UMMA WAKIUSUBIRI MWENGE WA UHURU
WATUMISHI MBALIMBALI WA UMMA WAKIUSUBIRI MWENGE WA UHURU
VIJANA WA SKAUTI WAKIWA TAYARI KUMPOKEA KIONGOZI WA MWENGE KITAIFA
SHAMRASHAMRA ZA MWENGE WA UHURU TOKA KWA WANA IRINGA
OFISI YA MKUU WA MKOA NDIO MWISHO WA RELI
OFISI YA MKUU WA MKOA NDIO MWISHO WA RELI
PAMOJA KWA UPENDO SIFAEL KIVAMBA, JULIANA MKALIMOTO NA GB. BUKORI
MKUU WA MKOA AKIWA NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA OFISI YAKEKUONESHA FURAHA YAKE
DKT. CHRISTINE ISHENGOMA, SIFAEL KIVAMBA, JULIANA MKALIMOTO NA GB BUKORI
WOOTE WA OFISI YA MKUU WA MKOA PAMOJA NA MKUU WA MKOA MWENYEWE
WOOTE WA OFISI YA MKUU WA MKOA
WOOTE WA OFISI YA MKUU WA MKOA
VIJANA WAMETOKELEZEA KAMA WACHEZA FILAMU
KWELI WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA IRINGA WAMEPENDEZA
VICTORIA MNYAMBWA, GRACE SANGA NA GB BUKORI WAKIWA KATIKA POZI
WADAU WENGINE WA MWENGE WA UHURU
CAPTAIN KASILILIKA NA VICTORIA
WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA IRINGA
WANANCHI MBALIMBALI WA MKOA WA IRINGA WAKIUSUBIRI MWENGE WA UHURU
MKUU WA WILAYA YA MUFINDI, EVARISTA KALALU AKIMUELEKEZA JAMBO MADAM KADUMA ILI AFANIKISHE MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU
WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA IRINGA
WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA IRINGA
WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA IRINGA
MBUNGE RITTA KABATI (TRAKI YA TANZANIA) NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA IRINGA
AGRICOLA NA MAMBO YAKE YA STAILI ZA KUPIGIA PICHA
MRATIBU WA WMENGE MKOA WA IRINGA, ATILIO MGANWA AKIJADILIANA NA FUAD
VIJANA WENYE USHAWISHI MKUBWA MAJIRA YA MWENGE ATILO MGANWA MRATIBU WA MWENGE MKOA WA IRINGA NA KATIBU WA MKUU WA MKOA BAHATI GOLYAMA WAKITETA JAMBO
MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIANGALIA KWA MAKINI WANANCHI WA MKOA WA IRINGA WALIVYOCHANGAMKA KATIKA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU KIJIJINI IGOMAA
MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKINYOOSHA KIDOLE KUONESHA KUVUTIWA NA VIJANA WA JKT MAFINGA
KIKUNDI CHA BURUDANI KIKITUMBUIZA
SKAUTI NAMBA 1
UHAKIKI WA TAKWIMU NA ITIFAKI
UHAKIKI WA TAKWIMU NA ITIFAKI
VIONGOZI WA MKOA WAKIWA NA WAKATI MZURI
MKUU WA WILAYA YA KILOLO GG NA MKUU WA WILAYA YA IRINGA DKT. WARIOBA
KATIBU WA KUU NA DC KILOLO
WAJUMBE WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOA
KUU MKOA KWA UJUMLA WAO
KATIBU TAWALA MKOA WA IRINGA WAMOJA AYUBU AKISIKILIZAKWA UMAKINI MAELEZO YA MRATIBU WA MWENGE WILAYA YA MUFINDI
KATIBU TAWALA MKOA WA IRINGA WAMOJA AYUBUAKITOA MAELEKEZO KWA MRATIBU WA MWENGE WILAYA YA MUFINDI
KATIBU TAWALA WILAYA YA MUFINDI MARIA ITALA NA AFISA TAWALA NEEMA MZENA
VIONGOZI WAKUU WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI
MIKA MWAIKAMBO NA IMELDA KULANGA
WADAU WA MWENGE TOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA IRINGA
WADAU WA MWENGE TOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA IRINGA
KATIBU TAWALA MSAIDIZI SEHEMU YA RASILIMALI WATU SCOLASTICA MLAWI NA KATIBU TAWALA MSAIDIZI SEHEMU YA UCHUMI ADAM SWAI
SCOLASTICA MLAWI AKIFURAHIA JAMBO HUKU ADAM SWAI AKIFUATILIA KWA KARIBU
MWENYEKITI WA KAMATI YA ITIFAKI, MALAZI NA MAPOKEZI SCOLASTICA MLAWI
MKUU WA MKOA NA KATIBU WAKE
BURUDANI IKITUMBUIZA
MKUU WA MKOA WA IRINGA AKIKIRI KUUPOKEA MWENGE WA UHURU
MWANA WA IRINGA ARUDI NYUMBANI