Sunday, October 6, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA YA TIMU YA RAS IRINGA ILIYOIVUTA TIMU YA HAZINA NA KUCHUKUA KIKOMBE CHA SHIMIWI

 TIMU IKIWEKA MIKITI YA USHINDHI MUDA MFUPI KABLA YA KUIVUTA HAZINA

 TIMU YA RAS IRINGA WAKIWA KAZINI

  TIMU YA RAS IRINGA WAKIWA KAZINI

 HAPA NI BAADA YA KUISHINDA TIMU YA HAZINA NA KUWA MSHINDI WA KWANZA  FURAHA IKIAMBATANA NA MACHOZI

FURAHA TUPU KWA TIMU YA RAS IRINGA