Nae Catherine W. Mdemu akasaini cheti cha ndoa yake.
Hapa Samwel S. Nyagawa anaondoa ule ubishi wa kama umeoa tuoneshe cheti cha ndoa kwa kusaini cheti cha ndoa yake huku Catherine akihakiki saini inayotelewa..sasa watu wanajiuliza kwani alishaiona saini ya Sam??
Catherine W. Mdemu nae akamvisha PETE ya Ndoa Samwel S. Nyagawa. Sasa hebu mwangalie Catherine hapa...!!
Wakati wa Samwel S. Nyagawa kumvisha PETE ya Ndoa Catherine W. Mdemu ukawadia na tendo hilo likafanyika kwa ustadi mkubwa yaani kama wanataniana vile!
Sikiliza maneno hayo ya maharusi
Unaweza kudhani Sam anasinzia eeh! hata mie nilidhani hivyo
Huku akijiamini Samwel S. Nyagawa nae aliutamkia Umma kuwa anamuoa Catherine W. Mdemu
Ulifika wakati wa Catherine W. Mdemu kuutamkia Umma kuwa anakubali kuolewa na Samwel. S. Nyagawa
Tabasamu la Samwel S. Nyagawa asikwambie mtu, hilo pozi la Catherine W. Mdemu usilihoji
Maharusi Samwel S. Nyagawa na Catherine W. Mdemu (katikati) wakiwa na wapambe wao (pembeni)
Baba Askofu Jonas Mkane akiongoza sala ya Misa ya Ndoa ya Bw. Samwel S. Nyagawa na Bi. Catherine W. Mdemu
Maharusi Samwel s. Nyagawa na Catherine W. Mdemu wakiwa kanisani
Maharusi Samwel s. Nyagawa na Catherine W. Mdemu wakiingia katika nyumba ya Ibada
Mama mzazi wa Samwel Nyagawa, Mama Prof. Nyagawa (kushoto) na mama ambaye jina lake halikujulikana kwa mara moja wakiwa kanisani
Maharusi Samwel S. Nyagawa na Mpambe wake wakiingia Kanisani
Maharusi Samwel S. Nyagawa na mpambe wake wakiingia Kanisani
No comments:
Post a Comment