Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Amina Masenza
"Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuwalinda wananchi
wote, hivyo, rai yangu kwa Wananchi ni kuwa jitokezeni kwa wingi siku ya kupiga
kura mapema na baada ya kupiga kura rudini kwenye maeneo yenu kuendelea na
shughuli nyingine. Wananchi wasibaki kwenye vituo vya kupigia kura baada ya
kupiga kura'