Wananchi wakifanya usafi katika kijiji cha Ruaha Mbuyuni A |
Mkuu wa Mkoa wa Irirnga, Mhe. Amina Masenza akiwaongoza maafisa waandamizi kuelekea eneo la kufanya usafi |
Zoezi la usafi likiendelea |
Zoezi la usafi likiendelea |
Mkuu wa Mkoa akichoma taka |
Upande wa pili Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Bibi Wamoja Ayubu wanne (kulia) akiongoza vikosi vya usalama kuelekea eneo la kusanya usafi |
Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu wakwanza mbele (kulia) |
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi (katikati) katika zoezi la usafi |
Zoezini |
Wananchi baada ya kuhitimisha zoezi la usafi |
Baada ya zoezi la usafi |
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza |
Wananchi wakisikiliza nasaha za Mkuu wa Mkoa |
Mkuu wa Mkoa akiongea na wananchi |
Wadau wa sekta ya usafi wakifuatilia nasaha za Mkuu wa Mkoa |
Mdau wa siku ya Uhuru wa Tanzania bibi Scolastica |
Wananchi wakifuatilia nasaha za Mkuu wa Mkoa |
Wananchi wakisikiliza nasaha za Mkuu wa Mkoa wa Iringa |
Mkurugenzi Mtendaji (W) Kilolo, Rukia Muwango akijibu hoja za wananchi |
Shaban Lubathillah Afisa Ushirika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa akifanya usafi katika Uso wa ofisi hiyo |