Thursday, March 10, 2011


Mgeni rasmi, Bibi. Gertrude Mpaka akizungumza na akina mama katika
maadhimisho ya siku wanawake Duniani

Bibi. Gertrude Mpaka akipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Bw. Mohamed Mkupete wakati
akikagua mabanda ya maonesho


Bibi. Gertrude Mpaka akisalimiana na Waheshimiwa Madiwani wa Njombe



Burudani hazikuwa nyuma katika maadhimisho hayo



Bw. Bosco Ndunguru, Mkurugenzi Mtendaji H/W Kilolo (kushoto),
George Lukindo Mkurugenzi wa Mji Njombe (katikati) na Mohamed Mkupete,
Mkurugenzi Mtendaji H/W Njombe wakionesha ujirani mwema.

No comments:

Post a Comment