JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA
WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
MKOA WA IRINGA:
Simu Na. 026 2702191
Fax Na.
026 2700310
|
|
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,
S. L. P. 858,
IRINGA
|
YAH:
MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA TAREHE 25 JULAI, 2012.
Wafanyakazi wote wa Ofisi ya Mkuu
wa Mkoa wa Iringa na Wananchi wa Manispaa ya Iringa kwa ujumla mnatangaziwa kuwa Tarehe
25 Julai, 2012 kutafanyika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa
katika Uwanja wa Bustani ya Manispaa ya Iringa saa 2:00 Asubuhi.
Mheshimiwa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa atakuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo.
Unatakiwa kuhudhuria katika
Maadhimisho hayo muhimu kwa Kudumisha Historia ya Ukombozi wa Nchi yetu.
Imetolewa
na:
Ofisi ya
Mkuu wa Mkoa wa Iringa
S.L.P 858
IRINGA
No comments:
Post a Comment