Baadhi ya Waumini wa Dini ya kiislam wakipata swala kabla ya FUTARI iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma
Baadhi ya Waumini wa Dini ya kiislam wakipakua FUTARI. Picha kwa hisani ya Blog ya Francis Godwin
Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Bibi. Gertrude Mpaka (Picha kwa hisani ya Blog ya Francis Godwin )
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma (kushoto) akishiriki katika FUTARI (Picha kwa hisani ya Blog ya Francis Godwin )
Baadhi ya wageni waalikwa akipata FUTARI
Wageni waalikwa akisikiliza nasaha za Mkuu wa Mkoa (hayupo pichani)
No comments:
Post a Comment