RAS
mstaafu Mkoa wa Iringa Gertrude Mpaka (kushoto) akimlisha keki Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Pudenciana Kisaka.
RAS
mstaafu Gertrude Mpaka (kushoto) Mkoa wa Iringa, akimlisha keki Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi,Edna Kaduma.
RAS
mstaafu Mkoa wa Iringa Gertrude Mpaka (kushoto) akimlisha keki Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Mohamed Gwalima
RAS Mkoa wa
Iringa mstaafu Gertrude Mpaka (kushoto) akimlisha keki Mkurugenzi wa Manispaa
ya Iringa, Theresia Mahongo.
RAS mstaafu
Gertrude Mpaka (kushoto) Mkoa wa Iringa, akimlisha keki Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Joseph Muhumba
RAS mstaafu
Gertrude Mpaka (kushoto) Mkoa wa Iringa, akimlisha keki Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Stephen Mhapa
RAS
mstaafu Gertrude Mpaka (kulia) Mkoa wa Iringa, akimlisha keki Mstahiki Meya wa
Manispaa ya Iringa, Amani Mwamwindi
No comments:
Post a Comment