Tuesday, October 29, 2013

BAHATI GOLYAMA AKAMILISHA SHAHADA YA UZAMILI YA UONGOZI WA BIASHARA NA KUBOBEA KATIKA RASILIMALI WATU

 Gasto Kasumo, Afisa Utumishi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa akimpongeza Bahati Golyama

 Neema Mwaipopo, Afisa Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa akimpongeza Bahati Golyama

                                              Bahati Golyana ndani ya Joho

 Gasto Kasumo, Afisa Utumishi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa akimpongeza Bahati Golyama

 Juliana Mkalimoto, Afisa Ugavi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa akimpongeza Bahati Golyama

 Neema Mwaipopo Afisa Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa akijiandaa kumvalisha Ua, Bahati      Golyama

                        Neema Mwaipopo akimpongeza Bahati Golyama

            Victoria Mnyambwa, Kaimu Katibu wa Mkuu wa Mkoa akimpongeza Bahati Golyama


                                                                   Mwanazuoni Golyama

                                Timu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa


                                       Timu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa


No comments:

Post a Comment