Tuesday, October 29, 2013

BAHATI GOLYAMA AKAMILISHA SHAHADA YA UZAMILI YA UONGOZI WA BIASHARA NA KUBOBEA KATIKA RASILIMALI WATU

 Gasto Kasumo, Afisa Utumishi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa akimpongeza Bahati Golyama

 Neema Mwaipopo, Afisa Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa akimpongeza Bahati Golyama

                                              Bahati Golyana ndani ya Joho

 Gasto Kasumo, Afisa Utumishi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa akimpongeza Bahati Golyama

 Juliana Mkalimoto, Afisa Ugavi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa akimpongeza Bahati Golyama

 Neema Mwaipopo Afisa Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa akijiandaa kumvalisha Ua, Bahati      Golyama

                        Neema Mwaipopo akimpongeza Bahati Golyama

            Victoria Mnyambwa, Kaimu Katibu wa Mkuu wa Mkoa akimpongeza Bahati Golyama


                                                                   Mwanazuoni Golyama

                                Timu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa


                                       Timu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa


FLORENCIA PIUS AKAMILISHA BA WITH EDUCATION KATIKA ST. JORDAN CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA SAUT. AIBUKA MIONGONI MWA WAHITIMU 411 DARASANI KWAKE

Florencia Pius akiwa nje ya Kanisa la Mungu Mwokozi ndani ya Chuo Kikuu cha Jordan Morogoro

       Florencia Pius akiwa na Mpwa wake Harry Gondwe nje ya Kanisa la Mungu Mwokozi


                                      Nje ya Kanisa la Mungu Mwokozi

                 Nje ya Kanisa la Mungu Mwokozi, Florencia na Dada yake Revina katikati


                                Katikati ya kundi la wahitimu wenzake Florencia







                                              Mkuu wa Chuo na Rais wa TEC

                                                 Rais wa TEC Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa akitafakari jambo