TANZIA
WAKUU
WA IDARA/VITENGO
WATUMISHI
WOTE
WIZARA
YA FEDHA
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA
WAZIRI WA FEDHA MHE. DKT. WILLIAM A.
MGIMWA (MB) KILICHOTOKEA TAREHE 01 JANUARI, 2014 HUKO AFRIKA KUSINI, KATIKA
HOSPITALI YA KLOOF MEDI – CLINIC, PRETORIA. MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIA KUWASILI SIKU YA
JUMAMOSI TAREHE 04/01/2014 NA
UTASAFIRISHWA KWENDA MKOANI IRINGA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 05/01/2014 KWA MAZISHI.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU
MAHALI PEMA PEPONI. AMEN
2
JANUARI, 2014
No comments:
Post a Comment