OFISI
YA WAZIRI MKUU
RATIBA
YA MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA
DKT.
WILLIAM A. MGIMWA
TAREHE
|
SIKU
|
MUDA
|
TUKIO
|
WAHUSIKA
|
4.1.2014
|
JUMAMOSI
|
7.00 MCHANA
|
MWILI WA MAREHEMU KUWASILI UWANJA WA
NDEGE WA MWALIMU NYERERE – TERMINAL II NA KUPELEKWA NYUMBANI MIKOCHENI B
|
NDUGU
VIONGOZI
WANANCHI
KAMATI
|
11.00 JIONI
|
MWILI KUPELEKWA HOSPITALI YA LUGALO
|
KAMATI
|
||
5.1.2014
|
JUMAPILI
|
3.00 – 4.00 ASUBUHI
|
CHAKULA NYUMBANI KWA MAREHEMU
|
KAMATI
|
4.30 ASUBUHI
|
MWILI KUWASILI NYUMBANI
|
KAMATI
|
||
5.30 – 8.00 MCHANA
|
MWILI KUPELEKWA UKUMBI WA KARIMJEE,
KWA AJILI YA IBADA NA HESHIMA ZA MWISHO
|
KAMATI
|
||
8.00 MCHANA
|
MWILI KUPELEKWA UWANJA WA NDEGE WA
MWALIMU NYERERE – TERMINAL 1
|
KAMATI YA KI - TAIFA
|
||
10.00 JIONI
|
MWILI KUWASILI IRINGA
(NDULI AIRPORT)
NA KUAGWA KATIKA UKUMBI WA SIASA NI KILIMO - IRINGA
|
MKUU WA MKOA
KAMATI YA MKOA
KAMATI YA KI - TAIFA
|
||
11.30 JIONI
|
KUELEKEA KIJIJINI MAGUNGA
|
MKUU WA MKOA
KAMATI YA MKOA
KAMATI YA KI - TAIFA
|
||
6.1.2014
|
JUMATATU
|
6.00 MCHANA
|
SHUGHULI ZA MAZISHI KIJIJINI KWA
MAREHEMU MAGUNGA
|
MKUU WA MKOA
KAMATI YA MKOA
KAMATI YA KI - TAIFA
|
No comments:
Post a Comment