Menrad Dimosso akitoa shukrani zake kwa ujumbe kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa pamoja na zawadi waliyompatia katika sherehe ya harusi yake iliyofanyika katika ukumbi wa NESTO ZANGIRA- MATOMBO.
Menrad Dimosso akitoa shukrani zake kwa Katibu Tawala Msaidizi, Sehemu ya Mipango na Uratibu, Nuhu Mwasumilwe baada ya kukabidhi zawadi ya Mkoa katika sherehe ya harusi yake iliyofanyika katika ukumbi wa NESTO ZANGIRA- MATOMBO.
Bwana harusi Menrad Dimosso na mkewe wakila keki kwa staili walioichagua wao
Hiyo ilikuwa miondoko ya KWAITO likiwa ni ombi mahususi la Sam Nyagawa
Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi ya Menrad Dimosso Bi. NINA
Baadhi ya watumishi wa RS Iringa waliopata fursa ya kuwa mashuhuda
Baadhi ya watumishi wa RS Iringa waliopata fursa ya kuwa mashuhuda
Mke wa Menrad Dimosso akirekebisha koti la MZEE baada ya kumvika ndani ya ukumbu wa NESTO ZANGIRA
Mke wa Menrad Dimosso akiingia ukumbini
Menrad Dimosso akiingia ukumbini
No comments:
Post a Comment