Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dr. Christine Ishengoma (mwenye sutu ya zambarau) akikagua zana alipotembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dr. Christine Ishengoma (mwenye sutu ya zambarau) akikagua Mambo ya Lishe alipotembelea Banda la Halmashauri ya manispaa ya Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dr. Christine Ishengoma (mwenye sutu ya zambarau) akipokea maelezo ya Malisho ya Mifugo
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dr. Christine Ishengoma (mwenye sutu ya zambarau) katika picha ya pamoja alipotembelea banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa.
Mama Kiula ajumuika na wadau katika kutembelea Maonesho ya Nanenane Mbeya
Banda la Manispaa ya Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dr. Christine Ishengoma akisaini Kitabu cha Wageni katika banda la Manispaa ya Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dr Christine Ishengoma akibadilishana mawazo na Mjasiliamali jasiri, Genoveva Barnabas
Dr. Ishengoma katika banda la ASAS
RC Iringa akikagua banda la Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, kulia ni kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa akikagua mabanda ya Maonesho kulia kwake ni Shenal Nyoni
Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea maelekezo katika banda la Halmashauri ya Wilaya Wilaya ya Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma akisaini Kitabu cha wageni katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
Dr. Christine Ishengoma akioneshwa note feki na noti halisi za 10,000.
No comments:
Post a Comment