Kombe la mshindi wa pili kuvuta kamba wanawake
Nahodha wa timu Agnes Mlula akimkabidhi kombe
mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Gertrude Mpaka
Kaimu Mwenyekiti
mstaafu wa Klabu ya Shimiwi Ras Iringa Gillian Bukori akimkabidhi cheti cha
ushiriki wa Mkoa mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Iringa Gertrude Mpaka.
Baadhi wa
wachezaji wa timu hiyo ya kuvuta kamba wanawake
Picha
ya pajama baina ya wachezaji, viongozi wa Mkoa na mgeni rasmi.
Wakati wa Burudani
No comments:
Post a Comment