Baadhi ya viongozi walioshiriki maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara kimkoa
Baadhi ya viongozi na maafisa waandamizi walioshiriki maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara kimkoa katika tarafa ya Mahenge Wilayani Kilolo
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Dickolagwa (wapili kushoto) akisaini kitabu cha wageni
Viongozi wakitafakari kwa kina juu ya miaka 51 ya Uhuru wa tanzania Bara
Ritta Kabati, Mbunge (CCM) Viti Maalum akisaini kitabu cha wageni (kulia) Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Wamoja Dickolagwa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma (katikati) akisaini kitabu cha wageni kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Joseph Muhumba na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Helman Msua (kulia)
Baadji ya wananchi waliojumuika katika maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara
No comments:
Post a Comment