MAFUNZO HAMASA YA KIBIASHARA
NA
UIMARISHAJI WA
BIASHARA NDOGO
Walengwa: Vijana waliomaliza
vyuo/shule; Mtu yoyote anayependa
kujiajiri; Mfanyabishara anayemiliki
biashara ndogo.
Aina ya Bidhaa
|
Idadi ya siku
|
Ada
|
Usindikaji chakula: Tomato
sauce, Chilli sauce, Jam, Mbilimbi, Mangle pickle, Cakes/Snacks, Juice,
Peanut butter, unga wa lishe
|
Siku 12
|
150,000/-
|
Sabuni za unga, vipande
na maji [za harufu tofauti]
|
Siku 10
|
130,000
|
Utengenezaji wa Batiki
|
Siku 12
|
120,000
|
Utengenezaji wa ‘Tie and dye’
|
Siku 6
|
80,000
|
Kutengeneza mishumaa ya aina na harufu mbalimbali
|
Siku 6
|
75,000
|
Ufugaji kuku wa kienyeji , mayai na wa nyama kibiashara
|
Siku 5
|
70,000
|
Bidhaa za mikono [urembo aina
tofauti]
|
Siku 10
|
100,000
|
Wasiliana
nasi simu Na. 0754 787 133 NA 0754 072 869
No comments:
Post a Comment