Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais; Mahusiano na Uhusiano, Stephen Wassira akiongea na Rais wa Baraza la
Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania, Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa alipotembelea makazi ya Askofu
huyo mjini Iringa. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Tuesday, March 5, 2013
BARAZA LA BIASHARA LA MKOA LIKABILI CHANGAMOTO
IRINGA
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa amewataka wajumbe wa Baraza la biashara la Mkoa kuzikabili
changamoto mbalimbali zinazokabili utendaji kazi wa baraza hilo.
Ushauri
huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma wakati akifungua
mkutano wa maandalizi ya baraza la biashara la
Mkoa wa Iringa katika ukumbi wa
mikutano wa Siasa ni Kilimo mjini Iringa.
Dkt.
Christine amesema kuwa baraza la biashara linazo changamoto lukuki katika
utekelezaji wa majukumu yake. Amezitaja changamoto hizo kuwa ni pamoja na
upatikanaji wa wajumbe walio na dhamira na wakilishi wa dhati katika baraza.
Amesema upatikanaji wa fedha za kuendesha vikao, tafiti na ufuatiliaji pia ni
changamoto.
Mkuu
wa Mkoa wa Iringa ameyataja madhumuni na kazi za baraza la Mkoa kuwa ni pamoja
na kutoa utaratibu kwa ajili ya madiliano na mazungumzo ya Sekta ya Umma na
binafsi kwa lengo la kufikia muafaka kuhusu masuala ya kimkakati yanayohusiana
na usimamizi thabiti wa rasilimali za maendeleo.
Amesema
majukumu mengine ni kubadilishana mawazo kuhusu mazingira ya uendeshaji na
taratibu za pamoja na kupendekeza njia za kurahisisha huduma za umma, kuboresha
utoaji wa huduma za umma, kuongeza mahusiano mazuri na sekta binafsi. Mengine
ni kupitia kila mara maendeleo katika mazingira ya biashara ya ndani na nje,
changamoto na fursa zinazoletwa Iringa na kujadili hatua za kuchukua.
Dkt.
Christine ameyataja madhumuni mengine kuwa ni kupitia upya na kupendekeza
mabadiliko katika mazingira ya Sera mbalimbali ili kuongeza uvutiaji wa vitega
uchumi vya ndani na nje, na kuboresha ushindani wa bidhaa bora za Tanzania
katika soko la nje. Amesema kuhimiza na kukuza uanzishwaji wa Sera na utaratibu wa masuala ya kijamii na
kiuchumi.
Ikumbukwe
kuwa mabaraza ya biashara yalianzishwa kwa waraka wa Rais, Namba 1 wa mwaka
2001 kwa lengo la kukuza na kuendeleza majadiliano kati ya sekta ya umma na
binafsi nchini.
=30=
SERIKALI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WADAU WA SEKTA YA AFYA
IRINGA
Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika
kutoa na kuboresha huduma katika sekta ya afya nchini kwa lengo la kumuhudumia
vizuri mwananchi.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa, Dkt. Christine
Ishengoma katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya
Iringa, Dkt. Leticia Warioba wakati wa ufunguzi wa jengo la huduma ya upasuaji
wa macho pamoja na kituo cha huduma ya kupima na kutengeneza miwani katika hospitali
ya rufaa ya mkoa wa Iringa.
Dkt. Christine amesema kuwa Serikali
itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo katika kuhakikisha
wananchi wanapata huduma bora za afya kwa sababu Serikali peke yake haiwezi
kutekeleza jukumu hilo.
Akiongelea ufunguzi wa jengo la huduma
ya upasuaji wa macho pamoja na kituo cha huduma ya kupima na kutengeneza miwani,
amesema kuwa shughuli hiyo imegharimu zaidi ya shilingi milioni 70 zikiwa ni
ukarabati wa jengo la huduma ya upasuaji. Amesema shilingi milioni 35
zimetumika kununua vifaa tiba vilivyopo katika kituo cha kupima na kutengeneza
miwani zikiwa ni misaada kutoka mashirika ya Sightsavers na taasisi ya Brien
Holden Vision.
Amesema kuwa mashirika hayo yameonesha dhamira ya wazi ya
kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kutekeleza
Sera ya ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi katika kuimarisha huduma
za jamii.
Aidha, amewataka watumishi wa idara ya afya hasa huduma za macho
kuhakikisha wanatumia msaada huo kwa malengo yaliyokusudiwa. Kwa wasimamizi wa huduma
za afya katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa kuhakikisha vifaa vyote
vilivyotolewa na wadau vinaingizwa katika leja ya hospitali na kutunzwa kwa
kufanyiwa matengenezo na matengeneza kinga kama inavyotakiwa ili viweze kutoa
huduma kwa muda mrefu.
Katika taarifa ya huduma za mradi
jumuishi wa macho Iringa iliyowasilishwa na Daktari bingwa wa macho katika hospitali
ya rufaa ya mkoa wa Iringa, Dkt. George Kabona amesema kuwa shughuli za mradi
jumuishi wa huduma za macho mkoani Iringa ulianzishwa mwaka 1998 kwa
ushirikiano kati ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa na shirika lisilo la
kiserikali la Sightsavers.
Amesema kuwa lengo kubwa la mradi
huo ni kuhakikisha watu wote wenye upofu unaozuilika wanapatiwa huduma ya
kuepukana na upofu huo na wale wenye upofu usiozuilika wanapatiwa elimu bora
hasa watoto.
Dkt. Kabona amezitaja shughuli za mradi
huo zilizogawanyika katika sekta tatu kuwa ni afya ya macho, elimu jumuishi na
utengamao.
Akiongelea mafanikio ya mradi huo, amesema kuwa sekta hiyo
imepata mafanikio makubwa na kuyataja kuwa ni pamoja na kuweza kuwaona na
kuwapatia huduma wagonjwa 76,471 katika mkoa mzima wa Iringa kati ya mwaka
2009-2011. Mafanikio mengine ni kufanyika kwa upasuaji kwa wagonjwa 6,280
katika kipindi hicho.
=30=
=30=
Thursday, February 21, 2013
WAZIRI KAGASHEKI AANZA KUTATUA KERO ZA VIBALI VYA UVUNAJI KATIKA SHAMBA LA MITI SAO HILL
Friday, February 1, 2013
Hong Kong (CNN) -- A truck carrying fireworks on an
expressway bridge in central China exploded Friday, causing part of the
bridge to collapse and sending dozens of vehicles plunging off the edge,
authorities said.
The exact number of
casualties wasn't immediately clear. Highway police in Henan province,
where the explosion happened, said on their official microblog account
that at least 11 people had been killed.
But that post was later
deleted and replaced with one that gave the lower total being reported
by Xinhua, the official state news agency. By late Friday afternoon,
Xinhua was citing local authorities as saying that eight people had been
killed.
The state-run China
National Radio had earlier reported on its website that as many as 26
people had died in the disaster. It didn't say where it got the
information from.
Authorities have closed
the expressway while search and rescue efforts are under way, Xinhua
reported, and 13 injured people have been retrieved from the wreckage so
far.
At least 25 vehicles are believed to have fallen off the bridge to the ground about 30 meters (100 feet) below, Xinhua said.
State broadcaster CCTV carried footage of a yawning gap in one part of the bridge, with mounds of debris, including rubble and parts of vehicles, spread out below
Rescue workers in bright orange overalls clambered over upturned trucks, looking for survivors.
Xinhua said an 80-meter
(260-foot) stretch of the bridge had collapsed after the explosion,
which occurred at 8:52 a.m. local time in Mianchi County.
China's fireworks tradition
Fireworks are an
enduring element of celebrations of the Lunar New Year in China, one of
the country's most important holidays that takes place this month. But
they have been at the root of accidents in the past.
In 2009, fireworks set
off a huge fire that gutted a brand-new hotel in central Beijing,
briefly prompting calls for the return of a ban put in place at the
height of Chairman Mao Zedong's rule in the 1970s.
According to local
folklore, fireworks drive away monsters and evil spirits. But under Mao
they were prohibited, ostensibly on the basis that they were "bourgeois"
and a "waste of money."
Beijing authorities on Friday urged residents to set off fewer fireworks during this year's Lunar New Year celebrations to avoid exacerbating the thick pollution that has cloaked the capital for much of the past month, Xinhua reported.
Pentagon laying off 46,000 employees
By Barbara Starr, CNN
January 25, 2013 -- Updated 2242 GMT (0642 HKT)
Full time civilian
employees, which number in the hundreds of thousands, also will be
furloughed for one day a week for 22 weeks, Deputy Defense Secretary Ash
Carter said in an interview with wire service reporters.
His comments were confirmed by a Pentagon spokesman.
The moves are part of a
Defense Department effort to reduce spending given the potential for
billions in mandatory cuts beginning as early as this spring should
Congress fail to reach a deal on deficit reduction.
Defense Secretary Leon
Panetta ordered military services to begin implementing cost cutting
measures to mitigate the risk of the cuts to the military budget should
no congressional deal emerge.
Panetta said earlier this
month that he had asked services to begin "prudent" measures, which
included curtailing maintenance for non-critical activities and delaying
hiring.
The measures must be "reversible" and minimize harmful effects on military readiness, Panetta said.
(CNN) -- A California judge has forced the Archdiocese of Los Angeles to release some 12,000 pages of church documents revealing how it handled allegations of priest sexual abuse.
There were many -- 192 priests and bishops were named in litigation, the archdiocese said.
"The cases span decades," Archbishop Jose H. Gomez said in a statement Thursday. Some go back to the 1930s.
"But that does not make them less serious. I find these files to be brutal and painful reading," he said.
Gomez also chastised his
predecessor, now retired Cardinal Roger Mahony, for shortcomings after
victims came forward during his tenure.
"Effective immediately, I
have informed Cardinal Mahony that he will no longer have any
administrative or public duties," Gomez said in a statement.
It's a mere slap on the
wrist long after the fact, said David Clohessy, director of the
Survivors Network of those Abuse by Priests.
"A meaningless gesture. He should have been demoted or disciplined by the church hierarchy, in Rome and in the US," he said.
But Mahony was not as much as denounced when he was in power, Clohessy said.
Mahony "expressed his
sorrow" over the alleged abuse, which victims reported during his tenure
as archbishop from 1984 - 2011, the archdiocese said Friday.
But Clohessy feels he
and other church officials knew too much and did too little, and that
there have not been enough consequences to deter future abuse or
cover-ups.
"If you successfully conceal your wrongdoing, you can keep your job," he said.
The archdiocese already
published the names of accused clergy in a 2004 report, but the release
of Thursday's documents will allow the public to trace how the church
handled the allegations. It may bring to light some
cases where accusations were kept under wraps and the accused were kept
out of the sight of the law or accusers.
The documents had served as evidence in 508 civil cases by sex abuse victims that were settled in one stroke in 2007.
Victims received a total of $660 million in the landmark judgment.
Most of the documents
were inner-church correspondences about accused clergy. The archdiocese
fought to purge the names of the accused from the papers until Thursday,
when Judge Emilie Elias ruled that they be made public by February 22.
The church published
them shortly after the ruling. There are 124 personnel files in total,
82 which reveal sex abuse allegations against minors.
The release "concludes a sad and shameful chapter in the history of our Local Church," the archdiocese said.
It warned that although the names of the abused have been deleted, some may recognize their cases.
"We understand this experience may be a difficult one," it said.
Thursday, January 3, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)