Mwenyekiti wa Baraza la Nenda kwa Usalama Barabarani, Salim
Abri na Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Gertrude Mpaka (kushoto) wakiwa katika
wakati wa furaha ndani ya uwanja wa Samora yanapofanyika maonesho ya Wiki ya
Nenda kwa Usalama Barabarari yanayofanyika kitaifa mkoani hapa.
Maandamano ya wadau mbalimbali wakiingia katika uwanja wa
Samora Manispaa ya Iringa kwenye Maonesho ya wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarari yanayofanyika kitaifa mkoani hapa.
Bendi ikiongoza Maandamano ya wadau mbalimbali kuingia katika
uwanja wa Samora Manispaa ya Iringa kwenye Maonesho ya wiki ya Nenda kwa
Usalama Barabarari yanayofanyika kitaifa mkoani hapa.
Picha
ya pamoja ya wadau wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dkt. Emmanuel Nchimbi (wanne kulia waliokaa) na Mkuu wa Mkoa wa
Iringa, Dkt. Christine Ishengoma (wa tano kulia waliokaa) katika uwanja wa
Samora Manispaa ya Iringa.
No comments:
Post a Comment